Alivyokuwa mdogo alikataa kusoma mama yake mzazi alishafariki siku
nyingi na alikuwa akilelewa na mama yake mdogo maeneo ya Yombo buza.
Alishawahi kufungwa jela japo haijajulikana alikosa nini, na jina lake
kamili ni Salum Njwope na jina hilo nila babu yake. Yeye ni mwenyeji wa
mkoa wa Shinyanga. Kwa mujibu wa mama yake mdogo anasema Scorpio
alipokua akitoka nyumbani usiku saa mbili anamuaga mama yake mdogo huyo
kuwa anakwenda kwenye kazi ya ubaunsa katika club kumbe mwenzie alikuwa
anaenda Buguruni kuibia watu mpaka asubuhi ndio anarudi nyumbani.
Pia scorpion ashawahi kushiriki katika shindano lililojulikana kama Dume
Challenge kama miaka mitatu iliyopita na aliibuka mshindi. Napia
alianza mafunzo ya kucheza caret tangu akiwa mdogo sana napia ni mtu
mwenye nguvu za kuzaliwa nazo.
Kuna kipindi aliondoka nyumbani kwao kwa muda mrefu mama yake mdogo
anadai alikuwa hajui yuko wapi mpaka baadae aliporudi mwenyewe nyumbani.
Amekamatwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kumjeruhi mkazi mmoja wa Dar es
Salaam eneo la Buguruni kwa kumng’oa macho katika kitendo kilichoelezwa
kuwa ni wizi wa fedha.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment