October 23, 2016


Profesa Ibrahim Lipumba anadai CHADEMA imepoteza dira kwa kumbadilisha Lowassa na Dk. Slaa. Amesema maandamano yao ya UKUTA ukuta wenyewe ulikuwa ni wa biskuti

Amesema yeye akiitisha maandamano yanakuwa ni ya kweli na yeye huwa ndio anayaongoza

Ametaka CUF waungane bara na visiwani kuimarisha chama chao
Mtazame Hapa:


Mtazame Hapa:
                   

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE