Katika mitandao mingi ya kijamii wanahusisha huyo mwalimu Msigwa na mimi Mbunge Msigwa kama tuna mahusiano ya kindugu ,
Hatuna mahusiano yoyote na huyo kijana , na wala simfahamu Ingawa hata tungekuwa na mahusiano matendo yale hayakubaliki kwa ukoowa akina Msigwa na kwa jamii ya binadamu iliyostarabika . Amefanya makosa .But People do mistake, people do change , he can change lets not judge too much, he is still young , he must be given another chance , that is what parenting is all about!.
Peter Msigwa (MP).
0 MAONI YAKO:
Post a Comment