October 12, 2016

Tokeo la picha la Alikiba Mombasa 

Sakata la mwanamuziki Ally Kiba kuzimiwa mic na kushushwa jukwaani Mombasa, limezidi kuchukua sura mpya hasa baada ya ukweli halisi kutofahamika. Katika show hiyo ya kimataifa ilihudhuliwa pia na mwanamuziki toka Tanzania mwana dada, Vanessa Mdee. Vee Money, amefunguka kuhusu ukweli wa tukio hiklo. Mskilize hapa


                 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE