Taarifa zilizotufikia Usiku huu ni kwamba, wabunge wa chama cha wananchi CUF wamekamatwa na Polisi. Taarifa hiyo inasema
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J
0 MAONI YAKO:
Post a Comment