November 16, 2016

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake atakuwa akilipwa dola moja ya Marekani ($1) pekee kila mwaka  sawa na shilingi 2000 ya kitanzania.

Alifichua mpango wake huo wakati wa mahojiano na Lesley Stahl kipindi cha 60 Minutes cha CBS News.
Ingawa hakujua rais huwa analipwa pesa ngapi, Bw Trump alisema alidhani anahitaji kuchukua tu $1.
Baada ya Bi Stahl kumjulisha kwamba mshahara wa rais ni $400,000, alisema: "Hapana, sitaupokea mshahara huo. Sizichukui kamwe."
Rais huyo mteule anatimiza ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni.
Aliambia waliohudhura mkutano wake Septemba kwamba mshahara wa rais si jambo kubwa kwake.

Related Posts:

  • New Music: Yemi Alade ft. Youssoupha – Hustler   Anatambulika kwa jina la Mama Afrika, lakini jina lake ni Yemi Alade. Ametuletea wimbo wake mpya unaitwa Hustler hapa akimshirikisha mwanamuziki  Youssoupha. Listen Up and Enjoy    … Read More
  • Group la Whatsapp lazinduliwa kwa mbwembwe Dar NA K-VIS BLOG/Khalfan Said WAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsapp lijulikanalo kama TASNIA HALISI wamezindua kundi hilo leo Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya kukata na shoka iliyohanikizwa… Read More
  • Aslay avuta ndinga mpya   Msanii wa muziki wa bongo fleva Aslay Isihaka ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Natamba' amefunguka na kushukuru uongozi wake mpya kwa kufanikisha yeye kuweza kupata … Read More
  • Zitto Kabwe afunguka baada ya kuachiwa Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT – Wazalendo baada ya kukamatwa na polisi na kuachiwa kwa dhamana amesema kuwa Rais alisema kuwa akamatwe na asingekamatwa angeshangaa: Tazama video hii Zitto Mh. akieleza &… Read More
  • Nay wamitego aitabilia kifo Bongo Fleva   Msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa ndani ya miaka miwili au mitatu inayokuja anaona wazi muziki wa bongo fleva unakwenda kufa kama ambavyo tasnia ya filamu bongo ilivyokufa kwa kile anachodai wasan… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE