November 14, 2016


  
Uyu jamaa alikuwa akiigiza wimbo wa mkiwa jukwaani
 
 Usiku wa November 13 ya mwaka 2016, kile kiota cha burudani mkoani Morogoro cha Samaki Spot kilikuwa kinaazimisha mika 3 tangu kuanzishwa kwake. Lilifanyika bonge la Party lililokonga mamia ya mashabiki waliofika katika viwanja hivyo. Burudani kutoka kwa Warugulu Band wakiongozwa na Killer Boy waliuwasha moto vilivyo . Lakini kubwa zaidi ni yule mkali wa Singeli nchini Tanzania Mani Fongo alivyokinukisha barabara hulu mashabiki wakisuzika. Lakini baada ya Mani Fongo ikafwata zamu ya wakubwa mwendo wa bandika bandua mpaka kweupe . Mzigoni alisimama DJ JD John Dilinga akiwa sambanmba na Dj Jimmy Lover.
 
 Mashabiki wakiifwatilia show ya Mani Fongo





 Wacheza show wa mani Fongo balaa









 Mani  Fongo akisema hainaga ushemeji






 Kwa upande wa Ulinzi kila upande ulikuwa imara

 Kweli hainaga Ushemeji


 Mani Fongo sambamba na wacheza show wake


 Mkurugenzi wa Samako Spot bi Farida akiwa na Warugulu Origina



 Kulia ni John Dilinga na kushoto ni DJ Jimmy Lover




 JD akisugua mashine huku Jimmy Lover akimfwatilia
 DJ Imma naye alikuwepo










0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE