

Silaha haramua zilizotwaliwa kutoka kwa wahalifu zimechomwa moto nchini Kenya. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, silaha hizo zilipangwa hadi urefu wa futi 15.Kabla kuwashwa moton makamu wa rais nchini Kenya William Ruto, na
waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery, walikagua silaha hizo.Kisha silaha hizo 5,250 zilizomwagiwa mafuta, zikawashwa moto eneo la Ngong, viungani mwa mji wa Nairobi.Bwana Ruto alisema kuwa silaha hizo zilitwaliwa kwa muda wa miaka 9 iliyopita huku nyingine zilisalimishwa kwa hiara,


0 MAONI YAKO:
Post a Comment