December 10, 2016

msoga3 
msoga-2 
Muwakilishi wa balozi wa china

msoga5 

Mbunge Wa chalinze Ridhiwani Kikwete

Serikali ya china imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwashule ya msingi msoga iliyopo halmashauri ya wilaya ya chalinze.Akizungumza katika hafla ya kuoneshwa eneo patakapojengwa uwanja huo Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameishukuru serikali ya china kwa msaada huo kwakuwa Michezo ni Kitu muhimu kwa watoto huku akitoa rai kwa halmashauri ya chalinze kulinda eneo hilo …
Kwaupande wake muwakilishi wa balozi wa china amesema kuwa China inajivunia uhusiano mwema uliopo kati ya china na Tanzania,na watahakikisha wanajenga uwanja huo kwa wakati ili kuwapa fursa watoto kufurahia michezo ae Mbunge Wa chalinze Ridhiwani Kikwete ametoa rai kwa wananchi wake kuhakikisha eneo lililotengwa linalindwa ili dhamira ya china kujenga uwanja huo itimiefadhili wa ujenzi wa uwanja huo wa michezi kwa watoto wa msoga ni muendelezo wa ufadhili wa china katika kijiji cha msoga baada ya kujenga shule ya msingi msoga.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE