
Mgombea udiwani kata ya kiwanja cha Ndege Morogoro kwa tiketi ya chama cha Wananchi CUF Ndugu Abeid Haroub Mlapakolo, amewaomba wakazi wa kata hiyo kumuunga mkono katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika 22 January 2017. Akizunumza na wananchi katika mkutano wa Hadhara wa kampeni AMlapakolo amesema endapo watamchagua, atahakikisha anashirikiana na wanchi hao katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika kata hiyo kongwe.
Msikilize Mlapakolo hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment