February 09, 2017

Madonna akiwa na wanae waliongezeka kwenye familia
Madonna ana furaha kuutangazia ulimwengu kuwa amefanikiwa kukamilisha mchakato wa kuwaasili watoto mapacha nchini Malawi.
Staa huyo aliingia kwa ndege binafsi nchini humo Jumatano hii na kwenda kuwachukua watoto hao kwenda kuanza maisha mapya. Kupitia Instagram, Madonna amedai kuwa ana furaha isiyo na kifani kuwakaribisha watoto hao kwenye familia yake.
Akiwe picha hiyo juu, Madonna ameandika:

I can officially confirm I have completed the process of adopting twin sisters from Malawi and am overjoyed that they are now part of our family. I am deeply grateful to all those in Malawi who helped make this possible, and I ask the media please to respect our privacy during this transitional time. 🙏🏻 Thank you also to my friends, family and my very large team for all your support and Love! 💘🦋🦋🌺🌼🌸🦋🦋🙏🏻🙏🏻✈️✈️😂🤣🦋🦋♥️🌺🎈♥️
Binti wa Madonna, Lourdes akiwa na wadogo zake mapacha, Stella na Esther walioasiliwa na mama yake
Madonna ana watoto wengine wawili wa kuasili na wao kutoka Malawi, David Banda na Mercy James

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE