February 25, 2017

 
Muhdhili kutoka jijini Dar Es Salaam Alhaji Mzee Yusuph, amewataka waislamu wa Morogoro kumkataa shtani na kumlingania Allah S.W.

Akizungumza na mamia ya waislamu katika viwanja vya muembe Songo Morogoro, Mzee Yusph aliyekuwa akisubiliwa kwa hamu kubwa kutokana na umaarufu wake, Amesema kuna haja ya kila muislamu kuupigania uislamu na kuachana na mambo mabaya, Mzee Yuph alikili kuwapotosha watu na familia zao na kujutia makosa aliyoyafanya mbele ya jamii kipindi chote cha nyuma na kuwataka wote wamsamehe kwa upotofu wake uliopita.



 

Kutoka kushoto ni Shekh Khayrallah, Alhaji Mzee Yusuph na Ustaadh Dibagula


 

Shekh Mketo akitoa daawa


 
Wakazi wa Morogoro wakimsikiliza Mzee Yusuph


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE