March 26, 2017

Image result for peter kibatala

Mawakili wawili maarufu nchini Peter Kibatala na Faraji Mangula, wamesema watahakikisha msanii Nay wamitego anapata dhamana ama anafikishwa Mahakamani. Katika ukurasa wake wa instagram Wakili Peter Kibatala ameandika na kuthibitisha kwamba wakili Faraji Mangula alifika Central na kuhakikisha Nay amefika tayari

Screenshot_20170326-200001

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE