Anaitwa Elisha James, amekuletea wimbo wake mpya unaitwa Natembea naye. Katika wimbo huu Elisha amewashirikisha wakongwe katika hizi kazi Producer Dunga na Nurueli. Wimbo umefanywa na producer daz naledge akishirikiana na Dunga Ambrose na Cjamoker Oscar kwenye mixing na mastering chini ya usimamizi wa PROPER ENTERTAINMENT.
Ujumbe wa rambirambi wa Lissu kwa Mzee Edwin Mtei
-
UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA TUNDU ANTIPHAS LISSU KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN
ISAAC MBILIEWI MTEI...
48 minutes ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment