Mwana Dada Agatha Mbale kutoka mkoani Morogoro, kwa mara ya kwanza kabisa anatupa karata yake ya muziki kwa upande wa hip Hop. Anakuwa miungoni mwa wasanii wachache sana wa kike kutoka Morogoro. Hapa anatukutanisha na wimbo wake mpya na ni wa kwanza kabisa unaitwa Shujaa. Wimbo umefanywa na Producer Material katika studio sa Star Records
DKT. KILABUKO AZINDUA NYARAKA ZA USIMAMIZI WA MAAFA NKASI
-
NA.MWANDISHI WETU – NKASI
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye
Ulemavu Dkt. James Kilabuko amezindua nyaraka za usimamiz...
1 hour ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment