Lile tukio kubwa lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kubwa sana juu ya mwanamuziki Diamond kuzindua Perfume yake litafanyika kesho . zaidi soma hapa alichokiandika Diamond
Tomorrow
will be officially launching my Perfume @chibuperfume at @gsmmall
Pugu Road from 02pm...My Beloved fans, you are all welcome to witness
the first Tanzanian Artist fragrance..... @chibuperfume #TheScentYoudeserve
(Kesho saa nane Mchana nitakuwa nazindua Rasmi Manukato yangu ya @chibuperfume katika mall ya @gsmmall iliopo barabara ya Pugu karibu na Njiapanda ya keko ..... tafadhali nawakalibisha sana sana wote, ili kwa pamoja tuweze kuzindua manukato haya ya kwanza toka kwa msanii wa KiTanzania... @Chibuperfume #ManukatoUnayostaahili)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment