
Leo ndio kilele cha ile kampeni ya Malkia wnguvu zinazoendeshwa na kampuni ya Clouds Media Group, Tumekuwekea hapa tukio zima jinsi linavyoendelea hapa ukumbini.

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa#CloudsMediaGroup Ruge Mutahaba akiteta jambo Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano Tanzania #MgeniRasmi katika kilele hiki cha MalkiaWaNguvu.


Mgeni rasmi wa kilele cha #MalkiaWaNguvu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akikabidhi tuzo ya Heshima kwa #MalkiaWaNguvu Mwanaidi Mayowela kwa Ujasiri, Ubunifu na Uchapakazi.
#MalkiaWaNguvu
#MchapaKaziMbunifu
#MalkiaWaNguvu
#MchapaKaziMbunifu

Mara nyingi kila nikimtazama @MutahabaRuge namuangalia umbo lake lakini sipati jibu anafanya mambo makubwa kuliko umbo lake" - alisema

"Kila hadithi nzuri ina mwisho wa kuvutia na maelezo matamu kuhusu hadithi kabla ya kilele cha hadithi hii ndiyo Safari ya #MalkiaWaNguvu" - Mkuu wa Vipindi na Maudhui @sebamaganga akitoa neno la utangulizi katika kilele hiki cha#MalikiawaNguvu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment