Muda huu, wasanii na wadau wamekusanyika katika studio za Tongwe Records kujadili mustakabali wao kisanaa na matukio yanayowakuta kwa sasa, lakini kubwa zaidi na mjadala wa kujua nini kimewapata na wapo wapi kwa sasa, wapo katika hali gani wenzao Roma mkatoliki na Moni ambao taarifa zimesambaa kuwa wametekwa na watu wasiojulikana wakiwa studio





0 MAONI YAKO:
Post a Comment