
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa mubashara kufuatilia na kuangalia kilele cha #MalkiaWaNguvu kilicho hitimishwa muda mchache uliopita kutoka ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa Julius Nyerere, na rais Dkt. John Magufuli amechangia milioni moja kwa #MalkiaWaNguvu Mwanaidi Mayowela (Yeye na Mume wake wote ni walemavu wa miguu) aliyejishindia tuzo ya Heshima.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment