April 21, 2017



Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria. 

Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha Tsh 105,000. Diamond alisema “Inaaminika kuwa Dubai ndio sehemu kunakotoka manukato mazuri.

Related Posts:

  • Darasa na Nay wa Mitego ndani ya hii sasa  Wakali wa wawili ndani ya muziki wa Bongo, Dara pamaoja na Nay wa Mitego wanakuja na ngoma yao hii inayoitwa TUNAISHI. Wimbo huu upo njiani kutoka ambao umefanyika katika studio za Freenation chini ya Producer MR.T… Read More
  • Rais Obama ataka mgao sawa   Rais wa Marekani Barak Obama, amesema Marekani inafanya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii baada ya miaka mingi ya kujirudia kwa mdororo wa uchumi na vita, huku uchumi ukiongeza ajira kwa kasi kubwa kuliko wakati … Read More
  • Unafikili ni kwanini wa Afrika wengi wanajichubua?   Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni? Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na Mtunzi wa Riwaya,Tricia Nwaubani anaangazia mada ya kung'ar… Read More
  • ZITTO KABWE: "Kurudi CHADEMA hizo ni tetesi tu"   Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, mwanzoni mwa 2014 kulikuwa na story ya mgogoro kati yake na Chama cha CHADEMA. Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kab… Read More
  • New Audio// Hellow - Linnah ft Christian Bella Na safari hii mwana muziki Linnah almaarufu ndede mnana anakupa fursa ya kupata wimbo wake mpya kabisa aliomshirikisha Christian Bella mzee wa masauti. pakua hapa … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE