
Mwanamuziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz wikend iliyopita alifanya show kule nchini Zambia. Diamond amekwenda kusuuza kabisa kiu ya burudani waliokuwa nayo wakazi wa Zambia. Hapa tumekuwekea Video ya Show hiyo ya Chibu Danhote alivyowamaliza kabisa Wazambia
0 MAONI YAKO:
Post a Comment