Leo Bungeni mjini Dodoma ziliibuka shangwe za aina yake baada ya wabunge wa bunge hilo kumpigia shangwe za nguvu Rais mstaafu Jakaya Kikwete pale alipotambulishwa na spika kama ni nmgeni aliyehudhulia bungeni hapo keo. Tazama Video hapa chini
Huu ndio utajiri wa Zari the Boss Lady
Zari Hassan maarufu kama Zari the Boss Lady ni mpenzi wa mwanamuziki toka Tanzania, Diamond Platnumz. Leo tunakuletea hapa chanzo cha utajiri na asili ya …Read More
Brand New Audio: Baby Boy - Diva ft Mr. Blue $ Bill Nass
Baad aya kukaa kimya kidogo katika upande wa muziki, sasa mwana dada Diva Loveness Love ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa Baby Boy. Katika wimbo huo Diva amewashirikisha Bill Nass na Mr. Blue. Wimbo umefanyi…Read More
Brand new Video:Harmonize - Matatizo
Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake wa Bado aliomshirikisha Diamond Platnum, hatimaye msanii toka WCB Harmonize ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa Matatizo.
Video hiyo ipo hapa chini
&…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment