April 26, 2017

Image result for sembe 
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe, amewataka watanzania kuamka na kupaza sauti zao juu ya bei za bidhaa zinavyopanda hususan unga wa Sembe. Katika ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandika  haya mapema leo hii ikiwa Taznzania inaazimisha miaka 53 ya Muungano


Bei ya Unga wa Sembe 1kg TZS 2,300/= ( wastani ). Bei ya Mafuta ya Petroli 1lt TZS 2,060/= ( wastani).
Kwa mara ya kwanza Ugali umekuwa ghali kuliko mafuta ya gari.
Gharama hizi za maisha Kwa wananchi ni kubwa mno, hazistahmiliki na zinaingiza raia wengi kwenye umasikini. Serikali ipo kimya kana kwamba kila kitu kipo sawa.
Wananchi amkeni kupaza sauti

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE