May 23, 2017

  

Wahenga walisema mshahara wa dhambi ni mauti, ndicho kinachoonekana hapa juu ya interview iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa katika kituo kimoja cha Televisiaon ikiwa na lengo la kumchafua na kumuharibia Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group kipenzi cha watu Ruge Mutahaba baada ya kuvuja kwa sauti iliyosibitisha lengo lao hasa la kipindi 

Wasikilize hapa chini



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE