
Leo ni siku ya wafanya kazi Duniani. Sherehe hizi kitaifa zinafanyika mkoani Kilimanjaro huku mgeni rasmi ktika sherehe hizo akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


Maandamano ya wafanyakazi Kilimanjaro katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani
Tazama hapa kinachoendelea pale Moshi Kilimanjaro
0 MAONI YAKO:
Post a Comment