Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewachagua Josephine Lemoyan na Pamela Maasay kuwa wabunge katika Bunge la Afrika Mashariki. Matokeo hayo yanafanya idadi ya wabunge kuwa 9 kati ya hao
Wanaume: 4
na Wanawake 5
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment