Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amedai kubaguliwa wakati wa
kuuaga miili ya wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent waliofariki kwa
ajali. Lema amedai yeye kama Mbunge wa Arusha Mjini, alistahili kupewa
nafasi ya kutoa salamu za rambirambi kitu ambacho hakikufanyika.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment