May 14, 2017

Mdau wa muda mrefu wa timu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji maarufu kwa jina la Moe, amesikitishwa na Club hiyo ya Msimbazi kwa kitendo cha kusaini mikataba na kampuni ya SportPesa bila kumshirikisha. Moe kupitia Instagram ameandika hivi 

 moodewji Inasikitisha kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umesaini mkataba wa udhamini wa muda mrefu bila kunishirikisha. Kwa muda mrefu nimeweka nguvu zangu kwenye klabu. 

Ameandika Dewji kwa masikitiko makubwa 

 
Mtendaji Mkuu wa SportPesa Tanzania, Pavel Slavkov (kulia) akimkabidhi jezi mpya Rais wa Simba SC, Evans Aveva (katikati) jioni ya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuashiria kuanza rasmi kwa udhamini wa kampuni hiyo katika klabu hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas.

 Siku ya jana Club ya Simba imeingia mkataba wa udhamini na kampuni ya  SportPesa wa kuidhamini Club hiyo kwa muda wa 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE