Assalam - araykum warah matullah, Tumekuletea Qaswida maarufu na inayopendwa na wengi hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Qaswida hii ineumbwa katika Lugha ya Kiarabu. Inaitwa Thola al badru alaina
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment