
Tanzania_one_soul (Angelbenard ,Paul clement ,good luck Gozbert ,Miriam Jackson Miriam Lukindo,Joel Lwaga) waimbaji Wa gospel ni_Salama_ Kama nyimbo ya pole kwa msiba Wa taifa Wa watoto wanafunzi Wa karatu. Video imeongozwa na kijana wako EInxer Ikishirikiana Adam wapili na kilonzo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment