June 18, 2017


 
 Familia ya Beyonce na Jay Z imeongezeka baada ya kuwakaribisha watoto wao mapacha ambao wanaungana na Blue Ivy mwenye miaka mitano.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la The People, familia hiyo ya Carter inafuraha kubwa kwa sasa kutokana na tukio hilo na wameanza kutoa taarifa hizo kwa watu wao wa karibu tu. 

Beyonce amejifungua pacha
“Bey and Jay are thrilled and have started sharing the news with their family and closest friends,” kimesema chanzo hiko.
Mapema mwezi February mwaka huu, Queen Bey kupitia mtandao wa Instagram alithibitisha kuwa na ujauzito huo kwa kuandika, “We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over. We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes. – The Carters.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE