Rais Erdoğan amewapongeza waislamu kwa kuumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani na kuwatakia sikukuu ya Eid yenye baraka tele .
Aidha rais huyo pia alitoa wito wa kuzingatia umoja hasa kipindi hichi cha sherehe za Eid .
Erdoğan alikuwa anatoa hotuba maalum kwa ajili ya Eid eneo la Akçakale,ambapo kuna takriban wakimbizi 300,000 waliopewa hifadhi Kusini mashariki mwa mji wa Şanlıurfa karibu na mpaka wa Uturuki na Syria.
Aliendelea kufahamisha kwamba Uturuki daima itaonyesha na kuzingatia thamani ya binadamu kabla ya kuwatakia watu wenyewe siku bora za maendeleo na sikukuu yenye furaha .
Vilevile alitoa shukran kuu kwa watu wa Akçakale kwa kuwapokea wakimbizi wa Syria eneo lao na kuwapa hifadhi na chakula .
Alfananisha watu wa Akçakale na Ansar jijini Madina kipindi cha Mtume Muhammad .

0 MAONI YAKO:
Post a Comment