July 30, 2017


Image result for MC Big Kev.
MC Big Kev.
Tasnia ya muziki nchini Kenya yapata pigo kubwa kwa kikumbwa na msiba wa kiongozi na mdau kubwa wa Sanaa Big Kev. 
Big Kev ambaye ni CEO na mwasisi wa True Blaq Entertainment ambayo ni kampuni ya kuandaa matamasha mbalimbali kwa ajili ya kukuza muziki Kenya, afariki dunia.
Chanzo cha kifo chake ni kutokana na uvimbe mkuu kwenye ubongo wake ambao ulisababisha kupoteza uwezo wa kuona baada ya kumsumbua kwa kipindi kirefu.
Alikuwa kishafanyiwa upasuaji ili kuondoa brain tumor hio lakini kwa bahati mbaya mambo hayakwende sawa na sasa Kevin Ombajo aka Big Kev, amefariki. 
Machaku Media inawapa pole ndugu,Jamaa, Marafiki na pia wadau wote wa muziki Kenya.
Chanzo: Mitego Blog Kenya

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE