
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule almaarufu Professor Jay, usiku wa jana, alikwenda kuyaaga maisha ya ukapela baada ya kufunga pingu za Maisha na Bi. Garace sherehe zilizofanyika ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Hall jijini Dar Es Salaam. Yapo mengi yaliyojiri katika Hafla hiyo ya aina yake. Shuhudia hapa baadhi ya matukio
Wosia wa Viongozi
Diamond afanya Suplize
Prof. Aingia na Kamili gano
0 MAONI YAKO:
Post a Comment