Aliyekuwa afisa Habari wa Yanga Jerry Mullo, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu kumaliza muda wake wa kuwa msemaji wa Clabu hiyo Akizungumza na wana Habri Jerry ameweka wazi hisia zake juu ya soka alilolitumikia kwa muda akiwa Yanga na kuendelea kulaani viongozi wa TFF
0 MAONI YAKO:
Post a Comment