August 23, 2017

Image result for chovya chovya
Msanii kutoka bongo flevani Dayna Nyange ametambulisha video yake mpya CHOVYA aliyoifanya south Africa na kikubwa zaidi ni kuwepo kwa mdogo wake mwanamuziki kutoka marekani Drake, Dayna amekutana na AYOTV na kueleza jinsi walivyokutana na kiasi gani cha pesa amemlipa

       

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE