YANGA YAICHAPA ASHANTI UNITED 2-1
Mechi
kati ya Yanga na Ashanti United imemalizika,kwa Yanga hii dalili nzuri
kwao kuuanza mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa
ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Ashanti United mechi iliyoch…Read More
ZITTO KABWE AFUNGUKA BAADA YA ....
Baada ya umati wa wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA
kujitokeza wakiwa na mbango na jeneza linalomdhihaki Zitto Kabwe
kumpokea Katibu Mkuu wa chama hicho "Dk Wilbroad Slaa" na Mbunge wa…Read More
UNGANA NA PLANET FM KUCHANGIA MAAFA KILOSA
Kituo cha Radio cha Planet cha mjini hapa, kimeanzisha mfuko maalum wa rambirambi za kuwachangia watanzania waliopatwa na maafa Wilayani Kilosa mkoani hapa.
Kwa maelezo zaidi fika MT. Ulugur…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment