September 09, 2017





Mwanamuziki wa Hip Hop Duniani Rick Ross, amepost picha ya mwanamuziki wa kitanzania Diamond Platnumz na kummwagia sifa kede katika AC ya Instagram. Rick mwenye AC inayotwa Richforever, amepost picha ya Diamonda akiwa ameshika chupa yenye kilevi cha Belaire, inaonekana sasa Diamond naye amekula shavu la kuitangaza Belaire. Hongera sana Diamond Platnumz

#SelfMade tastes better @DiamondPlatnumz x @OfficialBelaire #BBB 
 #biggest 
 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE