October 14, 2017

 

Leo ikiwa ni 14 Oct 2017, Tanzania ipo katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere rais wa kwanza wa Tanzania aliyefariki dunia siku Tarehe kama ya leo mwaka 1999. Yapita miaka 18 mpaka kifikia siku ya leo. Aliyekuwa rais wa Tanzania kipindi kile Mh. Benjamin William Mkapa ndiye aliytangaza kifo cha Mwalim. Tujikumbushe hapa chini


                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE