Mambo vp? Wimbo mpya wa Diamond Platnumz FT Rick Ross uliokuwa unasubiliwa kwa hamu kubwa sana Afrika na Ulaya , huu hapa . Upo tayari kuuskiliza na kuupakuwa? Bofya hapa chini
Pitio la Magazeti ya leo April 07/2015
Habari za leo hii mpenzi msomaji na mdau wa ubalozini.blogspot.com. Leo ni jumanne ya 07 April 2015, tunakupa fursa ya kujua japo kwa ufupi kilichoandikwa katika magazeti ya leo. Ukiitaji kujua kwa undani pitia katika meza z…Read More
Makaburi ya halaiki yafukuliwaMakaburi ya halaiki yafukuliwa Tikrit
Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq.
Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya wapiganaji wa Islamic State, …Read More
Nyota wetu leo hii ni Millard Ayo
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mza…Read More
Ukatili: Mume amlipua mkewe kwa petroli
Mwanamke mmoja, Kudra Janja mkazi wa Kijiji cha Bwai, wilayani Butiama mkoani Mara amelipuliwa kwa petroli na mumewe, Simon Otieno kwa kile kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.Katika tukio hilo pia mtoto a…Read More
Dayna Nyange ft Nay wa mitego - Nitulize
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye msanii wa kizazi kipya toka mkoani Morogoro, mwana mama Dayna Nyange, leo hii ameachia rasmi wimbo wake mpya aliofanya na Nay wa Mitego wa Nitulize
Wimbo umefanyika chini…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment