December 11, 2017


                                       
Msanii kutoka mji kasoro bahari, ambaye anaitwa Nexus ameachia  ngoma yake mpya inayoitwa  Weka ni Weke , ngoma imefanyika ndani ya  Free Nation  chini ya produza  Awesone kwa upande wa audio na Video yake imesimamiwa Deo  Abelli.

Weka ni weke ni ngoma ya michano amabayo inafanya vizuri toka imeachiwa Huu ni ujio wa wake mpya baada ya ngoma yake ya kwanza inayoitwa Kimewaka.
Nexus anadai kuwa anaamini mziki wake utafika mbali kutokana kwamba amejipanga kufanya hit juu ya hit .

Unaweza kumtafuta kwenye  Fb – Nexustz na instagram Nexustz pia unaweza ukascribe ngoma hiyo Youtube video na Audio,
 


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE