Mwanamuziki Nandy, kutokea Tanzania House of Talent T H T, ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge.Anakupa muda wako wa kuitazama hapa chini na aweza ku download pia
BABY MADAHA:DIAMOND MPENDA NGONO
MSANII
filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu
kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki
nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii ba…Read More
MWANAMUZIKI MKONGWE TABU LEY AFARIKI DUNIA
Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa hospitali kwa muda mrefu nchini Ubelgiji.
Akithibisha taarifa za kifo cha baba yake kupitia radio Okapi, mwanae
Charles Tabu amesema mwanamu…Read More
MBUNGE LEMA WA CHADEMA APINGWA HADHARANI JIMBONI KWAKE
Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA
jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli
Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo
pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment