Dayna Nyange awatamani Wizkid na Patoranking
Dayna Nyange amewataja mastaa wa Afrika ambao anatamani kaufanya nao kazi.
Hitmaker huyo wa Komela, amemtaja Wizkid na Patoranking (wote kutoka Nigeria) kuwa ndio wasanii anawapenda na anawafuatilia hivyo anatamani…Read More
Zitto Kabwe: "Mfumo wa vyama vingi upo Hatarini"
Nimetambua ( taken note ) uamuzi wa mahakama kuzuia amri ya kukamatwa ya mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA.
Nimefurahi kuwa Mwanasheria wa Act Wazalendo ndg. Albert Msando ni mmoja wa jopo la wanasheria wanaomtet…Read More
Clouds Media Group washusha balaa lingine mjini ni 103.3 FM
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 FM
Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, station hiyo inaonekana ku…Read More
Polisi wamethibitisha kukamatwa kwa Freeman Mbowe
Leo February 20 2017 Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha cha Demokrasia na Maendeleo “CHADEMA”.
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Tumai…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment