Group la whatsapp la Morogoro ndio home, linalowakutanisha vijana wanaoishi na wazaliwa wa Morogoro siku ya jana 16 December 2017 wamefanya ziara ya kutembelea katika hifadhi ya udzungwa kwa lengo la kuutangaza utalii wa ndani na kuudumisha uzalendo. Katika safari hiyo Vijana hao waliianza safari majira ya saaa 12 alfajiri . Wakizungumza na Machaku Media, vijana hao wamesema huu ni mwanzo tu lakini watahakikisha wanafanya mambo makubwa zaidi juu ya uzalendo wa mkoa na nchi kwa jumla.

December 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment