
Masoud amesema kuwa kwa sasa Majuto anaishi Vingunguti kwa ndugu zake ila January 26, 2018 anaripoti hospitali kwa ajili ya vipimo na kinachomsumbua kikubwa ni Presha kwani mwili wake ulikuwa umechoka sana na bado Madaktari wanampima ilikujua tatizo kubwa ni nini.?
"Mzee wetu majuto anaumwa na anaumwa kwa muda mrefu tulifanya utaratibu wa kutoka kwakwe kuja dar ili kutibiwa muhimbili alitakiwa kulazwa ila tukapewa taarifa na madaktari kuwa vitanda vimejaa tukarudi saa nane usiku" Masoud
Jumanne ndo majibu yatatolewa kipi kinachomsumbua kwakuwa amepimwa mambo mengi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment