Kimya kikuu kina mshindo mkuu. Ndivyo waswahili huwa tunasema na huwa tunapenda kulithi maneno haya toka kwa Wahenga. Sasa kimya cha nmwanamuziki wa Yamoto Band aliyesajiliwa W C B, Malombosa ameachia wimbo wake unaitwa Wtakubali? Malomboso kama tulivyomzoea kwa jina hilo, lakini kwa sasa anatambulika kwa jina la Mbosso.Tazama video hiyo hapa chini.
Prof Kitila: Tunahitaji vyombo vya habari imara
-
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwezeshaji, Profesa Kitila
Mkumbo, amesema Serikali...
3 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment