January 16, 2018

Klabu ya Yanga SC imeingia udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron wa thamani ya bilioni mbili kwa muda wa miaka mitatu,kampuni hiyo ndiyo watakaokuwa wakiivalisha timu hiyo kuanzia sasa.

 Akizungumza katika makubaliano hayo Katibu Mkuu wa klabu ya yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa wale wote waliyozoe kufanya biashara kwa kujinufaisha wao basi ni muda wa kuachana na biashara hiyo kwakuwa wanaingizia hasara klabu hiyo.

                  

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE