
Kufuatia taarifa za mwanamuziki nguli wa Marekani Rick Ross, kufuta post zinazomuhusisha mwanamuziki wa Kitanzania Nassib Abdul maarufu Diamond Platnum kuzidi kuchukua nafasi katika mitandao ya kijamii na bvyombo vya Habari, hatimaye Meneja wa mwanamuziki huyu Sallam Sk, amevunja ukimya na kuamua kuweka wazi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment