February 06, 2018

 Aslay akiimba kwa hisia uku akimwaga machozi jukwaani
Usiku wa 03 February 2017 ndani ya mkoa wa Morogoro, Historia iliandikwa pale katika ukumbi wa Samaki Spot kufuatia wasanii Aslay, Maua Samma na Msaga Sumu, walipopiga bonge la show ambayo haijwahi kutokea. Katika show hiyo iliyohudhuliwa na umati mkubwa sana wa watu, Wasanii hao walifanya show kubwa ya kukumbukwa, huku mwanamuziki anayetamba sana kwa sasa nchini ASlay kuishiwa uvumilivu na kumwaga chozi jukwaani.

Akizungumza na ubalozini.blogspot.com mara baada ya show kumalizika, mkurugenzi wa ukumbi wa samaki Spot Farida Mees Matlou amesema hakika hakutegemea kabisa kwani umati wa watu ulikuwa mkubwa sana  na kuifanya show kuwa kubwa zaidi ya walivyotarajia

Aslay haamini kinachotokea kwa mashabiki wake
Maua sama ndiye aliyefungua rasmi show


Msaga Sumu jukwaani, aliisaga vilivyo








Shabiki akiwa na Chiba










Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE