February 17, 2018

Msanii wa muziki Bongo, Aslay anatarajia kufanya ziara ya kimuziki barani Ulaya.Muimbaji huyo atatumia kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kukamilisha ziara hiyo inayotarajiwa kuanza March 2 hadi April 7 mwaka huu.
Kwa kipindi hicho atafanya show nane katika nchi mbali mbali zikiwemo Norway, Sweden, Finland, Swiss, Germany, Denmark na Holand.

 RATIBA IPO HIVI:
Fri 2.3 Stockholm – Sweden
Sat 3.3  Tampere-Finland
Sat 17.3 Berlin-Germany
Sat 24.3 Munich -Swizz
Fri 30.3  Copenhagen- Denmark
Sat 31.3 Köln-Germany
Fri 6.4  Holland
Sat 7.4  Helsinki-Finland

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE